Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO

CALL WSPH

KODI: 600,000X6

VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA NA LITAWEKWA MAKABATI YA KISASA

WAPANGAJI WATAKUWA WAWILI TU NDANI YA GETI

UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO

UMBALI DAKIKA 5 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI KIMARA MWISHO

NYUMBA IPO KWENYE MATENGENEZO ITAWEKWA AC PAMOJA NA HITA NA NJE KUWEKWA PEVING

KUONA NA KULIPIA LUKSA

KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 20,000

Dalali Abuu kimara korogwe mbezi kibamba

dalali_abuu_kimara_korogwe_

@dalali_abuu_kimara_korogwe_

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Dalali Abuu kimara korogwe mbezi kibamba