Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 20,000
Kodi 350,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
------
Contact
#0676_218580(WhatsApp
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏















