Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1.8km
Huduma na Sifa
Maelezo
(300k × 6) Vyumba viwili #KIMARA_TEMBONI
Apartment Inapangishwa ipo temboni mkono wakulia kama unaelekea mbezi
Bajaji buku boda buku
Umbali km/ 1.8 tu ukishuka hutembei
Apartiment hii Ina sifa zifuatazo
Vyumba viwili vya kulala vyote mastar sebule kubwa jiko open kitchen
Inatiles gupsam aluminium
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fensi full paving blocks
Kodi 300k x 6
Kuona nyumba elfu 20,00
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654 101710
0787 205300















