Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA TEMBONI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence Parking space
----
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
-----
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏















