Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo Juu, Dar Es Salaam

Makongo, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
⚡️Apartment Kali na kubwa zipo ndan ya fens ⚡️2Bedroom , sebule kubwa na jiko la makabati ⚡️bei 500k ⚡️Location: makongo juu ⚡️Huduma ya ulinzi, Usafi na takataka bure ⚡️Umeme unajitegemea ⚡️Ndani ya fensi ya umeme, parking kubwa, parvingblocks na mlinzi Yupo 🙏🏿Karbu: 0748403079















