Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

Maelezo

Apartment Inapangishwa MAWASILIANO. SIMU ELFU 2000

NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA

Sebule Kubwa
Jiko Kubwa
Public toilet
Luku Yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking ipo

Kodi 500,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6

Kwa maelezo zaidi piga :-

0712528820
0685221354

Mr.

Matangazo mengine Mawasiliano, Dar Es Salaam