Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Maelezo
Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na
Shoppers Plaza), Dar-Es-Salaam,
Tanzania
Ina :
Vyumba Viwili Vya Kulala, Sebule, Jiko lenye makabati, Choo
Cha Public
Parking Space
Ziko 3 Tu Kwenye Fensi
Inajitegemea Kwenye Umeme
Kodi : 600,000 Tshs Kwa mwez
Kwa mawasiliano zaidi
Nione dalalimbezibeach _rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu ππ















