Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 220,000

Aina

Apartment

Vyumba

2

Bafu

1

Barabara ya Karibu

1.5km — Morogoro Road

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maji
Public Toilet
Mita ya Maji Inajitegemea
Karibu na Barabara
Feni
Kibaraza Kikubwa

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 220,000/= X 6

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA JIKO
KIBARAZA KIKUBWA
LUKU INAJITEGEMEA PAMOJA NA TANKI LAKE LA MAJI LA LITA ELFU MOJA JUU
HAKUNA PARKING YA GARI UNAWEZA KUPAKI BAJAJI AU BODABODA TUU

BEI NI 220,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MASAA 24

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637