Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI
----
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 20,000
Kodi 250,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏















