Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Salasala, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
Vyumba viwili vya kulala
Inapangishwa Apartment
Iko-Dar es salaam tz
Mahali-Salasala
Kodi Tshs Mil 1,000,000/= kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
Apartment nzuri ya kisasa
Kubwa ya kifamilia
Nyumba mpya
Full air-condition
Full makabati jikoni
Full makabati vyumbani
Heater maji moto
Electric fence
Security 24hrs
FencedApart
Kwenda kuona 20k
Hii itatumika hadi utakapopata nyumba ya ndoto yako
Pamoja na malipo ya dalali_mkono_properties
Call/WhatsApp
📲8
Pia viwanja safi vya kununua vinapatikana...karibu sana















