Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza Kwa Remmy, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Sinza Kwa Remmy
Bei: 800,000 / Miezi 6
Karibu Sana Na Lami
☑️Zipo 3, Unatumia Geti Lako
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master, Sebule, Na Jiko
☑️Umeme Mita Yako
☑️Ac Sebuleni
☑️Dawasa Maji
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle















