Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam
Sinza, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 650,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment for rent
2bedroom sting room chumba kimoja nimastar kitchen pablic toilets paking nyumba ipo sinza mori bei laki 650 000 kwa mwezi kodi miezi 6 wakuwah awh
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Call
0654 33 00 49
0712 17 55 49 whatsAp















