Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko lenye makabati, public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking, pia fence ipo, reserve water tank, kutoka kituoni dakika 3 hadi 4 hivi, Location ya tabata kinyerezi dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali















