Apartment ya vyumba viwili inapangishwa tabata kinyerezi kibaga zabika, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Hii apartment nzuri sana inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko, umeme na maji unajitegemea, hapa kuna apartment 3 tu ndani ya fence, Location tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii















