Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
6minute
Huduma na Sifa
Maelezo
Hii apartment nzuri sana inapangishwa bei 350000 ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko na public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking bubwa, reserve water tank, geti sio muda litawekwa, kutoka kituoni dakika 6 hadi 8 hivi, Location tabata kinyerezi mbuyuni opposite na new vibe school dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii















