Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Segerea Viwanja vya Bank, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000/month

Maelezo

:
๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa

#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK

#๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini

#๐™Ž๐™ž๐™›๐™–_๐™•๐™–๐™ ๐™š
============
โ€ข Sebule kubwa
โ€ข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
โ€ข Jiko Kubwa lenye Makabati
โ€ข Public Toilet nzuri ndani
โ€ข Heater ya MAJI
โ€ข Reserve Tank (DAWASA)
โ€ข AC

Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa

#๐™†๐™ค๐™™๐™ž_๐™ ๐™ฌ๐™–_๐™ˆ๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™ž ๐™ฃ๐™ž Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6

๐˜ผ๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ก๐™ž๐™ฏ๐™ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.

dalali osama contact
0674198120.....0757908120

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Paving Blocks

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Relini, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Paving Blocks

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Fence ya Umeme

  • CCTV

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi G7, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi G7, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • hasMasterBedRoom

  • Air Conditioning

  • Heater

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Paving Blocks

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Parking Space

  • Paving Blocks

  • Public Toilet