Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
6minute
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartimenty Inapangishwa ipo temboni kushoto kama unatoka mjini
dk 6 tu kutembea
Nyumba Inavyumba viwili vyakulala kimoja mastar Inasebule jiko napablick toilet
Ipondani ya fensi full peving block
Inajitegemea umeme namaji
====
Kodi 400,000/=X6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Cont
0683234124
0718367179















