Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Ubungo, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT YA KUPANGA
UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Kituoni
Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master, Sebule Kubwa, Jiko Kubwa na Public Toilet
Kodi 400,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga:-
0712528820
0685221354
Mr















