Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
10minutes
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
#Repost dalali_Makini_Ubungo_riverside
——
Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk 7-10 Kutoka main road
Nyumba itakuwa wazi Mwisho wa Mwezi, Kuona na kulipia ruksa ndg Mteja
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA VYOTE
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, Gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Usalama wa kutosha
Kodi 500,000/= kwa Mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--















