Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Riverside Kibangu, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali Executive
Location Ubungo Riverside Kibangu
Kodi 500000×3 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Jiko lenye Makabati
Luku yake
Maji Dawasa ndani free hulipii yapo Kwenye Kodi Pamoja na Usafii
Public toilet ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Pavin Block
Good Environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565















