Nyumba (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Kinondoni Studio, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 FULLY FURNISHED HOUSE FOR RENT
📍Kinondoni studio
Unatafuta nyumba ya kuhamia moja kwa moja bila usumbufu? Hii ni nafasi yako! Nyumba imekamilika kwa samani zote muhimu, ipo katika eneo tulivu, salama na lenye huduma zote muhimu.
✨ Sifa za nyumba:
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Sebule
✅ Jiko
✅ 2 toilets
✅ Dinning room
✅ car parking space
✅ Near main road
✅Good neighbourhood
💰 Per month: 2M
📞 Piga simu au WhatsApp:
Usisubiri hadi ichelewe! Wasiliana nasi leo kupanga muda wa kuja kuiona. Nyumba nzuri hupata mpangaji haraka. 🔑🏡















