Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 600,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE MBAKA GETINI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
-------
Contact
(WhatsApp)

🇹🇿


EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏

0713661530_0783661530