Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bonite, Moshi Mjini, Kilimanjaro

Maelezo
📍Habari za leo ndugu mteja wa Nyumba moshi mjini , karibu katika ukurasa wa Dalali Moshi Nyumba viwanja , nakuletea Nyumba ya bedrooms 2 moja master sebule jiko , Nyumba ni nzuri na ya kisasa ipo Bonite ,Moshi mjini , Nyumba ni nzuri na ya kisasa kama unavyoona .
📍Kodi 300,000x6 , kuona Nyumba 10,000 , MALIPO ya Dalali ni MWEZI mmoja .
📞📞0672701329📞📞
#tanzaniatiktok
#viraltiktok
#viralreels
#dalalimoshi_nyumba
#moshiviwanja















