Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Kwarobert, Dar Es Salaam







Huduma na Sifa
Maelezo
300,000/= Kwa hiyo Bei Unaiachaje Kwa Mfano hembu fanya kuwahi tumalizane
✔️Vyumba viwili(kimoja master)
✔️Sebule Kubwa
✔️Jiko Kubwa
Public Toilet
GOBA KWAROBERT
Kuona nyumba elfu 15
Utamlipa dalali kodi yamwezi mmoja ukilipia nyumba
Cal
0713 320 608
0686 334 182















