Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia nne, Dar Es Salaam


Goba, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 700,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Inapangishwa:
(Ipo peke yake Kwenye fensi)
Location :: Goba Njia nne
Bei yake :: 700,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp::#📲















