Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam


Kibada, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 550,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kibada
Nyumba ina vyumba Viwili Kimoja master sebule na JIKO Nzuri
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ina apartment
Asking price 550k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano















