Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Kigamboni, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 600,000/month
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI KISIWANI
vyumba viwili vya kulala kimoja master room sebule choo & jikoo
ASKING ABOUT PRICE<>600K PER MOUNTH
👉🏻Hii ni out view tulishindwa kuchukua muonekano wa ndani kwasababu ambazo zipo nnje ya uwezo wetu,ila ukifka site uruhusiwa kuona na kuendelea na taratib nyengine kalibun sanaa
Kwa mawasiliano ☎️0788129591
Whatsapp 🔗 link ipo kweny Bio👆🏻















