Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2.5km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
(250k × 4) Vyumba Viwili #KIMARA_MWISHO
Umeme na maji unajitegemea
Pia unaweza kupitia #KIMARA_TEMBONI
Ipo km 2.5 kutoka Mwendokasi Kimara Mwisho
Bajaji 1000 pia Daladala zipo 700
Service charge 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
+255 (0) 654 101710
+255 (0) 787 205300















