Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
vyumba viwilli vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa na jiko ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri
HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA
27--- 7 --- 2026
Kuona nyumba ruksa piya nakuripiya ruksa
KODI YA PANGO
kwa mwezi ni kodi ya laki tatu nanusu tuu/=
(300,000)
X 6
simu 0786085637
wasp 0659336751















