Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 350,000/month

Maelezo

(350,000 × 6) Vyumba Viwili #KIMARA_SUKA

APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA

KODI 350,000 × 6 PAMOJA NA HELA YA DEPOSIT MWEZI MMOJA

VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA
JIKO LA MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
MAFENI KILA CHUMBA

KWENYE COMPOUND MOJA ZIPO MBILI TU
HII MOJA NDO IPO WAZI

IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI

UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU

IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PAVING BLOCKS USALAMA KAMA IKULU

UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TIRIRIKA NDANI

KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20,000

MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA

PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUPATA NYUMBA

ANAHITAJIKA MPANGAJI MWENYE MKE KIUFUPI FAMILIA

Contacts:

0715949085

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 80,000/month

  • Luku ya Ku-share

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Tanki la Maji

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 220,000/month

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Parking Space

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

  • Umeme

  • Luku ya Ku-share

  • Public Toilet

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 130,000/month

  • Maji

  • Umeme

  • Luku ya Ku-share

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Uzio