Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Magomeni Kagera, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Inapangishwa
@
Bei 800.000 kwa mwez
@
Mahali magomeni kagera
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Umeme na maji mita yako
@
KARIBUNI ofisini kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















