Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Kwa Zena, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000/month

Maelezo

Nyumba Nzuri Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Kwa Zena

Bei: 1,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

Ukarabati Wote Unafanyika

☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Umeme Mita Yako
☑️Fensi & Parking
☑️Mazingira Mazuri Sana
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz

Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Parking Space

  • Uzio

  • Makabati ya Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Parking Space

  • Uzio

  • Makabati ya Jiko

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000/month

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • CCTV

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Kwa Msuguli, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000/month

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • CCTV