Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Mwisho Magari Saba, Dar Es Salaam

Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 250,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Maelezo
(250,000 × 4,5,6) MBEZI MWISHO MAGARI SABA
Vyumba Viwili kimoja master Sebule na Jiko lake
Umeme na maji unajitegemea
Boda buku mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
