Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbuyuni Mwazoni, Morogoro

Mbuyuni, Morogoro
29 days ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
💥2 bedrooms,Sebule na jiko
💥400,000 miezi 6
💥Umeme unajitegemea
💥Ndani ya Fence na Parking kubwa
💥mbuyuni mwazoni kabisa
💥Service charge 20k






