Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mipango Royal Feet, Dodoma

Mipango, Dodoma CBD, Dodoma
8 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Uzio
Fence ya Umeme
Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
STAND ALONE HOUSE YA ROOM MBILI MIPANGO….
MAHALI - MIPANGO ROYAL FEET
MALIPO - 400000/=
Muundo
-Nyumba ipo jirani sana na lami ya Mpamaa
-Full Fance..
-Sebule kubwa..
-Master room2 kubwa sana..
-Jiko kubwa & store
-Nyumba ni Usalama
Huduma
-Maji ya Motto✅
-Maji yanatoka mda wote🚰
-Umeme unajitegemea🔋
-Electrical Fance
-Barabara inafikika🛣️
☎️Contact Whtsap + Calls full time - 0685700555
________________
__________
