Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mtumba, Dodoma
Mtumba, Dodoma
7 hours ago
Sh. 350,000/month
Maelezo
NYUMBA YA ROOM2 SMART SANA VIWANGO
MAHALI - MTUMBA
MALIPO - 350K
Muundo
-Nyumba ipo jirani sana na usafiri
-Full Fance..
-Sebule kubwa..
-Single✅
-Master room kubwa sana..
-Jiko kubwa & Public
-Nyumba ni Usalama%
Huduma
-Maji yanatoka mda wote🚰
-Umeme unajitegemea🔋
-Electrical Fance inawekwa
-Barabara inafikika🛣️
☎️Contact Whtsap + Calls full time - 0685700555
________________
__________









