Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
Mpyaa 300K kwa mwezi🔥
⭐Vyumba viwili, sebule na jiko
⭐Chumba Kimoja ni self contained
⭐Public toilet & bathroom
⭐Umeme na maji unajitegemea
⭐Fenced & Car Parking
⭐Price 300K kwa mwezi
⭐MALIPO KUANZIA MIEZI MITATU
⭐For more information contact us 👇
Call or WhatsApp 0678 930 126
GLORY TO GOD















