Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
Mpyaaaa 400K/mwezi🔥
NYUMBA IPO BARABARANI
⭐Vyumba viwili, sebule na jiko
⭐Chumba Kimoja ni self na heater
⭐Public toilet & bathroom
⭐Umeme na maji unajitegemea
⭐Fenced & Car Parking
⭐Price 400K kwa mwezi
⭐MALIPO KUANZIA MIEZI SITA
⭐For more information contact us 👇
Call or WhatsApp 0678 930 126
GLORY TO GOD















