Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Salasala, Dar Es Salaam
Salasala, Dar es Salaam
15 hours ago
Sh. 700,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
#INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
📍ENEO -SALASALA NEA DAWASCO
💰 BEI__700,000 (laki Saba)
📅 Miezi_5
📝 Bila kusaa Malipo ya Dalali tony_dulle
📝 Nyumba haiko mbali sana na lami 🛣️
______
🏡 Vyumba viwili kimoja self
🔸Sebule
🔸Jiko
🔸Choo
🔸Garden
🔸Madrisha ya kioo
🔸Umeme
🔸Maji
🔸Pv Brock
☎️📞
ℹ️ dulle_accessories_tz tony_dulle
#nyumbazakisasa #nyumbadareslaam















