Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Maelezo
NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 700.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme mita yako maji shea
&
Parkingi ipo
@
Karibu Sanaa ofisni kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















