Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kivule, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

NYUMBA YA KISASA,VYUMBA 2,TSHS.35 MILIONI,KIVULE NJIA NNE.

Unaweza kupitia UKONGA-MOMBASA/MOSHI BAR/BOMBAMBILI.
Jirani na Stand ya Daladala.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 250
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 2 vya kulala.
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Parking ipo.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548
________________mskv