Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Dar Es Salaam (450 sqm)

Kiluvya kwa Komba, Ubungo, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 60,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Ukubwa
450 SQM
Barabara ya Karibu
600m
Huduma na Sifa
Umeme
Maji
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KILUVYA KWA KOMBA DSM
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
Eneo sqm 450
Bei Mil. 60 maongezi kidogo
Nyumba imekamilika niyakuhamia,umeme na maji vipo
Umbali mita 600 toka lami
Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=
0654 101710
0787 205300
