Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Dar Es Salaam (450 sqm)

Kiluvya kwa Komba, Ubungo, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 60,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
3
Ukubwa
450 SQM
Barabara ya Karibu
600m
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KILUVYA KWA KOMBA DSM Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet Eneo sqm 450 Bei Mil. 60 maongezi kidogo Nyumba imekamilika niyakuhamia,umeme na maji vipo Umbali mita 600 toka lami Kupelekwa kuona nyumba 30,000/= PIGA SIMU 0789049684


