Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 150,000,000

Maelezo

๐Ÿ˜๏ธ APARTMENTS ZINAUZWA โ€“ KINYEREZI MWISHO

๐Ÿ’ฅ Fursa adimu ya uwekezaji yenye mapato ya uhakika!

0744112394

๐Ÿ“ Location: Kinyerezi Mwisho
๐Ÿ›ฃ๏ธ Takribani Kilomita 1 kutoka barabara ya lami.

โœ… Zinauzwa nyumba 3 za standalone, zikiwa zimekamilika kwa takribani 80%. Kazi iliyobaki ni kufunga madirisha, masinki ya vyooni na kufanya finishing ndogo kabla ya kuanza kuzipangisha.

Kila nyumba ina:

๐Ÿ  Vyumba 2 (kimoja Master)
๐Ÿ›‹๏ธ Sebule
๐Ÿฝ๏ธ Jiko
๐Ÿšฟ Choo cha Public

๐Ÿ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 400

Kiwanja ni kikubwa na bado kina nafasi ya kujenga nyumba nyingine nyingi za biashara. Kwa ramani nzuri na ushauri wa mhandisi, unaweza kuongeza nyumba hadi 10 au zaidi kulingana na mahitaji yako.

๐Ÿ’ฐ Kila nyumba ikikamilika inaweza kupangishwa kwa takribani TSh 500,000 kwa mwezi, hivyo ni uwekezaji wenye faida ya muda mrefu.

โšก Umeme tayari umeunganishwa.
๐Ÿ“„ Nyaraka zipo na ziko tayari kwa uhamisho.

๐Ÿ’ต Bei: TSh 150,000,000

๐Ÿ”ฅ Fursa kama hii hazidumu sokoni. Wahi uwekezaji wako leo!

๐Ÿ’ผ Service charge / Gharama ya huduma: TSh 30,000/=

๐Ÿ“ž Muhitaji piga:
0744112394

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam