Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI

Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko
Choo cha familia
Parking
Maji na Umeme mita yko

Kodi 500,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf

_NAMALIZA PAMBANO_

PIGA SIMU 0659336751
wsp 0786085637