Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 20,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

Apartment zinapangishwa mbezi mwisho jiran na lami

Vyumba viwili kimoja master
bedroom
Sebule kumbwa
Jiko kumbwa zuri makabati yapo
Public toilet
Umeme wako
Maji yako
Peving block
CCV kamela

Kodi 450 x 6

Kutoka barabara ya rami dk 1 tu uko kwenye nyumba

Kuoneshwa nyumba 20,000/=itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena

ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba

Nipigie cm kwa maelezo zaidi O677370515