Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ilazo, Dodoma

Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA
__________________
MAHALI- ILAZO
__________________
MUUNDO
-Vyumba V2 vya kulala VYOTE MASTER
-sebule
-jiko
-HAKUNA PUBLIC TOILET🚫
____________
HUDUMA
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
___________________
MALIPO
~Bei ni 450,000 @month
~Muda wa malipo miez 3+
__________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️ MAWASILIANO
+255625631258
#dalalidodoma #nyumbadodoma #makazimapya















