Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mikwambe, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

Location mikwambe Funcity

Nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko kali

Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment

Asking price 250k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge elfu ishilini

Mawasiliano

DALALI_KIGAMBONI_KISIWANI

dalali_kigamboni_kisiwani

@dalali_kigamboni_kisiwani

View Listings
DALALI_KIGAMBONI_KISIWANI