Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000/month

Maelezo

Apartment nzuri sana inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, hii apartment ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking kubwa, reserve water tank, kutoka kituoni dakika 6 hadi 8 kwa mguu, Location tabata kinyerezi kifuru opposite na soweto dar es salaam

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam