Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000/month

Maelezo

Stand alone) Apartment nzuri sana na fremu kwa pamoja inapangishwa bei 450000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo ni master bedroom, sebule kubwa, dining room, jiko zuri lenye makabati na public toilet, parking, reserve water tank, Hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi makofia dar es salaam

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service charge 20000
Malipo ya dalali

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam